Nathani amkemea Daudi
1 Mwenyezi Mungu akamtuma Nathani kwa Daudi. Alipofika kwake akamwambia, "Katika mji mmoja kulikuwa na watu wawili; mmoja alikuwa tajiri na mwingine alikuwa maskini.
7 Ndipo Nathani akamwambia Daudi, "Wewe ndiwe huyo mtu! Hivi ndivyo asemavyo Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli: ‘Nilikupaka mafuta uwe mfalme juu ya Israeli, nilikuokoa kutokana na mkono wa Sauli.
13 Ndipo Daudi akamjibu Nathani, "Nimefanya dhambi dhidi ya Mwenyezi Mungu."
Nathani akamjibu, "Mwenyezi Mungu amekuondolea dhambi yako. Hutakufa.