23 Mt 27:35;Mk 15:24;Lk 23:33;Yn 19:18;Mdo 4:28;1 Pet 1:20mtu huyu alipotolewa kwa shauri la Mungu lililokusudiwa, na kwa kujua kwake tangu zamani, ninyi mkamsulubisha kwa mikono ya watu wabaya, mkamwua; 24 Mt 28:5-6;Mdo 3:15;Mk 16:6;Lk 24:5ambaye Mungu alimfufua, akiufungua uchungu wa mauti, kwa sababu haikuwezekana ashikwe nao.
Publicidade