3Watu wakajificha siku ile, wakaingia mjini kama vile watu waonao fedheha wajifichavyo, hapo wakimbiapo vitani.
Resultados da busca por "fé"
107 resultados encontrados
- Capítulo 19
2 Samuel 19
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 3 de 43 - Capítulo 12
2 Reis 12
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 4 de 2142 Fal 22:4;Kut 30:13;Law 27:2;Kut 35:5;1 Nya 29:9 Yoashi akawaambia makuhani, Fedha yote ya vitu vitakatifu iliyoletwa nyumbani mwa BWANA, fedha ya matumizi, fedha ya watu kadiri alivyoandikiwa kila mtu, na fedha yote iliyoletwa kama mtu yeyote aonavyo moyoni mwake kuileta nyumbani mwa BWANA,
- Capítulo 3
Oséias 3
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 2 de 52Basi nikajinunulia mwanamke huyo kwa vipande kumi na vitano vya fedha, na homeri moja ya shayiri, na nusu ya homeri ya shayiri;
- Capítulo 51
Jeremias 51
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 17 de 6417Yer 50:2 Kila mtu amekuwa kama mnyama, hana maarifa;Kila mfua dhahabu amefedheheshwa na sanamu yake ya kuchonga;Maana sanamu yake ya kuyeyuka ni uongo,Wala hamna pumzi ndani yake.
- Capítulo 8
Cânticos 8
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 9 de 149Ufu 3:20 Kama akiwa tu ukuta,Tumjengee buruji za fedha;Na kama akiwa ni mlango,Tumhifadhi kwa mbao za mierezi.
- Capítulo 1
Esdras 1
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 4 de 114Na mtu yeyote aliyesalia mahali popote akaapo kama mgeni, na asaidiwe na watu wa mahali pake, kwa fedha, na dhahabu, na mali, na wanyama, zaidi ya vitu vitolewavyo kwa hiari ya mtu, kwa ajili ya nyumba ya Mungu, iliyoko Yerusalemu.
- Capítulo 3
1 Timóteo 3
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 3 de 163asiwe mtu wa kulewa, asiye dhalimu; bali awe mpole; asiwe mbishi, wala asiwe mwenye kupenda fedha;
- Capítulo 27
Jó 27
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 16 de 2316Ajapokusanya fedha kama mavumbi,Na kujifanyia mavazi kama udongo kwa wingi;
- Capítulo 28
Mateus 28
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 12 de 2012Wakakusanyika pamoja na wazee, wakafanya shauri, wakawapa askari fedha nyingi,
- Capítulo 3
Cânticos 3
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 10 de 1110Mt 22:37;Yn 13:1,34;Rum 5:8;Efe 3:19;1 Pet 1:7,8 Nguzo zake alizitengeneza za fedha,Na mgongo wake wa dhahabu,Kiti chake kimepambwa urujuani,Gari lake limenakishiwa njumu,Hiba ya binti za Yerusalemu.
- Capítulo 2
João 2
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 14 de 2514Mt 21:12,13;Mk 11:15-17;Lk 19:45,46 Akaona pale hekaluni watu waliokuwa wakiuza ng’ombe na kondoo na njiwa, na wenye kuvunja fedha wameketi.
- Capítulo 27
2 Crônicas 27
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 3 de 932 Nya 33:14;Neh 3:26 Ndiye aliyelijenga lango la juu la nyumba ya BWANA, na juu ya ukuta wa Ofeli akajenga sana.
- Capítulo 43
Gênesis 43
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 8 de 348Yuda akamwambia Israeli baba yake, Mtume kijana pamoja nami, tuondoke, tuende zetu, ili tupate kuishi, wala tusife, sisi na wewe na watoto wetu.
- Capítulo 17
Gênesis 17
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 12 de 2712Lk 2:21;Yn 7:22 Katika vizazi vyako vyote, kila mtoto wa kiume miongoni mwenu atatahiriwa akiwa na umri wa siku nane, awe mtumishi aliyezaliwa katika nyumba yako au uliyemnunua kwa fedha zako japo hakuwa wa uzao wako.
- Capítulo 8
Oséias 8
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 4 de 1441 Fal 12:16-20;2 Fal 15:13,17,25 Wamesimamisha wafalme, lakini si kwa shauri langu; wamejifanyia wakuu, lakini nilikuwa sina habari; kwa fedha yao na dhahabu yao wamejifanyia sanamu, kusudi wakatiliwe mbali.
- Capítulo 5
Neemias 5
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 4 de 194Tena walikuwako wengine waliosema, Tumekopa fedha ili kulipa kodi ya mfalme kwa kuweka rehani mashamba yetu, na mizabibu yetu.
- Capítulo 5
Lamentações 5
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 4 de 224Tumekunywa maji yetu kwa fedha;Kuni zetu twauziwa.
- Capítulo 23
Atos 23
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 22 de 3522Basi yule jemadari akamwacha kijana aende zake, akimwagiza, Usimwambie mtu awaye yote ya kwamba umeniambia haya.
- Capítulo 2
Amós 2
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 6 de 166Isa 29:21;Amo 5:11,12 Haya ndiyo asemayo BWANA; Kwa makosa matatu ya Israeli, naam, kwa manne, sitaizuia adhabu yake isimpate; kwa sababu wamewauza wenye haki kwa fedha, na maskini kwa jozi ya viatu;
- Capítulo 22
2 Reis 22
Swahili Revised Union VersionMostrando versículo 4 de 2042 Fal 12:4,9;2 Nya 24:8-14;Mk 12:41,42;Neh 11:19;Zab 84:10 Nenda kwa Hilkia, kuhani mkuu, ili aihesabu fedha yote inayoletwa nyumbani mwa BWANA, ambayo mabawabu wameipokea kwa watu;