Pular para o conteúdo
Publicidade

Resultados da busca por "fé"

116 resultados encontrados

  1. 2 Crônicas 1

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 1
    Mostrando versículo 12 de 17

    12Zab 34:9,10;Mt 6:33;Efe 3:20;1 Nya 29:25;2 Nya 9:22;Mhu 2:9 basi hekima na maarifa umepewa; nami nitakupa mali, na utajiri, na utukufu, kupita walivyokuwa navyo wafalme wote waliokuwa kabla yako, wala baada yako hapatakuwa na mtu atakayekuwa navyo.

  2. 2 Timóteo 3

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 3
    Mostrando versículo 2 de 17

    2Rum 1:29 Maana watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, wenye kutukana, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani, wasio safi,

  3. Jó 3

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 3
    Mostrando versículo 15 de 26

    15Au pamoja na wakuu wenye dhahabu,Waliozijaza nyumba zao fedha;

  4. Esdras 7

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 7
    Mostrando versículo 15 de 28

    152 Nya 6:2;Zab 135:21 na kuichukua fedha na dhahabu, ambayo mfalme, na washauri wake, kwa hiari yao, wamemtolea Mungu wa Israeli, akaaye Yerusalemu;

  5. Eclesiastes 10

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 10
    Mostrando versículo 19 de 20

    19Karamu hufanywa kwa ajili ya kicheko,Na divai huyafurahisha maisha; Na fedha huleta jawabu la mambo yote.

  6. Oséias 13

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 13
    Mostrando versículo 2 de 16

    2Na sasa wanazidi kufanya dhambi, nao wamejifanyia sanamu kwa fedha yao, naam, sanamu kwa kadiri ya akili zao; zote pia ni kazi ya mafundi; nao huzitaja hivi, Wanaume watoao dhabihu na wazibusu ndama.

  7. 2 Reis 5

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 5
    Mostrando versículo 5 de 27

    51 Sam 9:8;2 Fal 8:8,9 Mfalme wa Shamu akasema, Haya! Basi, mimi nitampelekea mfalme wa Israeli waraka. Basi akaenda zake, akachukua mikononi mwake talanta kumi za fedha, na vipande vya dhahabu elfu sita, na mavazi kumi.

  8. Zacarias 6

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 6
    Mostrando versículo 11 de 15

    11Kut 28:36 naam, pokea fedha na dhahabu, ukatengeneze taji, ukamvike kichwani Yoshua, mwana wa Yehosadaki, kuhani mkuu;

  9. Isaías 39

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 39
    Mostrando versículo 2 de 8

    22 Nya 32:31 Hezekia akawafurahia, akawaonesha nyumba yake yenye vitu vyake vya thamani, fedha na dhahabu, na manukato, na marhamu ya thamani, na nyumba yote yenye silaha zake za vita, na vitu vyote vilivyoonekana katika hazina zake; hapakuwa na kitu nyumbani mwake wala katika ufalme wake ambacho hakuwaonesha.

  10. Provérbios 6

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 6
    Mostrando versículo 20 de 35

    20Efe 6:1 Mwanangu, shika maagizo ya baba yako,Wala usiiache sheria ya mama yako.

  11. Gênesis 44

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 44
    Mostrando versículo 1 de 34

    1Akamwamuru yule msimamizi wa nyumba yake akisema, Jaza magunia ya watu hawa chakula kwa kadiri wawezavyo kuchukua, utie na fedha ya kila mtu kinywani mwa gunia lake.

  12. Salmos 69

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 69
    Mostrando versículo 6 de 36

    6Wanaokungoja Wewe wasiaibishwe,Kwa ajili yangu, Bwana, MUNGU wa majeshi.Wanaokutafuta Wewe wasifedheheshwe,Kwa ajili yangu, Ee Mungu wa Israeli.

  13. Êxodo 11

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 11
    Mostrando versículo 2 de 10

    2Kut 3:22;12:35 Basi nena wewe masikioni mwa watu hawa, na kila mwanamume na atake kwa jirani yake, na kila mwanamke atake kwa jirani yake, vyombo vya fedha, na vyombo vya dhahabu.

  14. 2 Crônicas 24

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 24
    Mostrando versículo 5 de 27

    52 Fal 12:4;2 Nya 29:3;34:8 Akawakusanya makuhani na Walawi, akawaambia, Nendeni katika miji ya Yuda, mkakusanye fedha kutoka Israeli wote, ili kuitengeneza nyumba ya Mungu wenu mwaka kwa mwaka, mkafanye bidii kuliharakisha neno hili. Lakini Walawi hawakuliharakisha.

  15. 1 Crônicas 29

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 29
    Mostrando versículo 2 de 30

    2Kut 28:9;Isa 54:11,12;Ufu 21:18 Basi kwa uwezo wangu wote nimeiwekea akiba nyumba ya Mungu wangu, dhahabu kwa vitu vya dhahabu, na fedha kwa vitu vya fedha, na shaba kwa vitu vya shaba, na chuma kwa vitu vya chuma, na miti kwa vitu vya miti; vito vya shohamu, na vya kujazia, vito vya njumu, na vya rangi mbalimbali, na mawe ya thamani ya kila namna, na marumaru tele.

  16. Esdras 8

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 8
    Mostrando versículo 13 de 36

    13Na wa wana wa Adonikamu, hawa waliokuwa wa mwisho, na hayo ndiyo majina yao, Elifeleti, na Yeueli, na Shemaya; na pamoja nao wanaume sitini.

  17. Isaías 46

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 46
    Mostrando versículo 6 de 13

    6Watu wamwagao dhahabu kutoka mfukoni, na kupima fedha katika mizani, huajiri mfua dhahabu, akaifanya mungu; huanguka, naam, huabudu.

  18. Salmos 15

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 15
    Mostrando versículo 5 de 5

    5Eze 18:8,9 Asiyetoa fedha yake apate kula riba,Asiyepokea rushwa amwangamize asiye na hatia.Mtu atendaye mambo hayoHataondoshwa milele.

  19. Gênesis 47

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 47
    Mostrando versículo 14 de 31

    14Mwa 41:56 Yusufu akakusanya fedha zote zilizoonekana katika nchi ya Misri na katika nchi ya Kanaani, kwa nafaka waliyoinunua. Yusufu akazileta zile fedha nyumbani mwa Farao.

  20. 2 Crônicas 9

    Swahili Revised Union Version
    Capítulo 9
    Mostrando versículo 14 de 31

    14Zab 68:29;72:10;Isa 45:14;60:6;Yer 25:24 mbali na ile waliyoileta wachuuzi na wafanya biashara; tena wafalme wote wa Arabuni, na watawala wa nchi wakamletea Sulemani dhahabu na fedha.

Léxico (correspondência exata) Semântico (correspondência relacionada) Versículos omitidos Contexto do capítulo