21Najikumbusha neno hili,Kwa hiyo nina matumaini.
26Zab 37:7 Ni vema mtu autarajie wokovu wa BWANANa kumngojea kwa utulivu.
29Ayu 42:6 Na atie kinywa chake mavumbini;Ikiwa yamkini liko tumaini.
11 resultados encontrados
21Najikumbusha neno hili,Kwa hiyo nina matumaini.
26Zab 37:7 Ni vema mtu autarajie wokovu wa BWANANa kumngojea kwa utulivu.
29Ayu 42:6 Na atie kinywa chake mavumbini;Ikiwa yamkini liko tumaini.
91 Pet 1:22;1 Tim 1:5;Amo 5:15 Pendo na lisiwe na unafiki lichukieni lililo ovu, mkilishika lililo jema.
121 The 5:17 kwa tumaini, mkifurahi; katika dhiki, mkisubiri; mkidumu katika kusali;
17Isa 5:21;1 The 5:15 Msimlipe mtu ovu kwa ovu. Angalieni yaliyo mema machoni pa watu wote.
61 Tim 4:8;Ebr 13:5;Flp 4:11,12 Lakini utauwa pamoja na kuridhika ni faida kubwa.
16Kut 33:20 ambaye yeye peke yake hapatikani na mauti, amekaa katika nuru isiyoweza kukaribiwa; wala hakuna mwanadamu aliyewahi kumwona, wala awezaye kumwona. Heshima na uweza una yeye hata milele. Amina.
211 Tim 1:6;2 Tim 2:18 ambayo wengine kwa kuikiri wamepoteza Imani. Neema na iwe pamoja nanyi.
242 Kor 5:7 Kwa maana tuliokolewa kwa tumaini; lakini kitu kilichotumainiwa kikionekana, hakiwi tumaini tena. Kwa maana ni nani anayekitumainia kile akionacho?
25Bali tukikitumainia kitu tusichokiona, twakingojea kwa subira.
35Ni nani atakayetutenga na upendo wa Kristo? Je! Ni dhiki au shida, au adha, au njaa, au uchi, au hatari, au upanga?
5Zab 90:4 Tazama, umefanya siku zangu kuwa mashubiri;Maisha yangu ni kama si kitu mbele zako.Kila mwanadamu, ingawa amesitawi, ni ubatili.
7Na sasa ninangoja nini, Ee Bwana?Matumaini yangu ni kwako.
11Ukimrudi mtu kwa kumkemea kwa uovu wake,Watowesha uzuri wake kama nondo.Kila mwanadamu ni ubatili.
6Rum 12:9 haufurahii udhalimu, bali hufurahi pamoja na kweli;
7Mit 10:12;1 Kor 9:12;Rum 15:1 huvumilia yote; huamini yote; hutumaini yote; hustahimili yote.
131 The 1:3;1 Yoh 4:16 Basi, sasa inadumu imani, tumaini, upendo, haya matatu; na katika hayo lililo kuu ni upendo.
2Mdo 16:19-24;17:1-9 ingawa tuliteswa na kutukanwa, katika Filipi kama mjuavyo, tulithubutu katika Mungu kuinena Injili ya Mungu kwenu, kwa kuishindania sana.
16Mwa 15:16;Mt 23:32,33 huku wakituzuia tusiseme na Mataifa wapate kuokolewa; ili watimize dhambi zao siku zote. Lakini hasira imewafikia hata mwisho.
19Flp 2:16;4:1;2 The 1:4 Maana tumaini letu, au furaha yetu, au taji la kujionea fahari, ni nini? Je! Si ninyi, mbele za Bwana wetu Yesu, wakati wa kuja kwake?
3Hasar-shuali, Bala, Esemu;
36Adama, Rama Hazori;
37Kedeshi, Edrei, Enhasori;
12Yn 14:6;Ebr 4:16;Rum 5:2 Katika yeye tunao ujasiri na uwezo wa kukaribia katika tumaini kwa njia ya kumwamini.
17Yn 14:23;Kol 1:23;2:7 Kristo akae mioyoni mwenu kwa imani mkiwa na shina na msingi katika upendo;
21naam, atukuzwe katika kanisa na katika Kristo Yesu hata vizazi vyote vya milele na milele. Amina.
26Amamu, Shema, Molada;
42Libna, Etheri, Ashani;
52Arabu, Duma, Eshani;
1Zab 88:3,4 Roho yangu imezimia, siku zangu zimekoma,Kaburi i tayari kunipokea.
15Basi, tumaini langu liko wapi?Na tumaini langu, ni nani atakayeliona?
162 Kor 1:9;Zab 88:4-8;Ayu 3:17 Litashuka kwenye makomeo ya kuzimu,Itakapokuwapo raha mavumbini.