15 Wim 4:1Tazama, u mzuri, mpenzi wangu,
U mzuri, macho yako ni kama ya hua.
16 Tazama, u mzuri, mpendwa wangu,
Wapendeza, na kitanda chetu ni majani;
15 Wim 4:1Tazama, u mzuri, mpenzi wangu,
U mzuri, macho yako ni kama ya hua.
16 Tazama, u mzuri, mpendwa wangu,
Wapendeza, na kitanda chetu ni majani;