Mazungumzo ya bibi arusi na marafiki
2 Kubusu na anibusu kwa kinywa chake.
Maana pendo lako lapita divai;
3 Wim 6:8;Mt 25:1;2 Kor 11:2Manukato yako yanukia vizuri;
Jina lako ni kama marhamu iliyomiminwa;
Kwa hiyo wanawali hukupenda.
2 Kubusu na anibusu kwa kinywa chake.
Maana pendo lako lapita divai;
3 Wim 6:8;Mt 25:1;2 Kor 11:2Manukato yako yanukia vizuri;
Jina lako ni kama marhamu iliyomiminwa;
Kwa hiyo wanawali hukupenda.