Pular para o conteúdo
Publicidade

Kumbukumbu la Torati 11

18 Kum 6:6-9Kwa hiyo yawekeni maneno yangu mioyoni mwenu na rohoni mwenu; yafungeni yawe dalili juu ya mikono yenu, nayo yatakuwa kama utepe katikati ya macho yenu. 19 Mit 22:6Nayo wafunzeni watoto wenu kwa kuyazungumza uishipo katika nyumba yako, na utembeapo njiani, na ulalapo, na uondokapo. 20 Hab 2:2Tena yaandike juu ya miimo ya nyumba yako, na juu ya malango yako; 21 Mit 3:2;4:10;Zab 72:5;89:29ili siku zenu zifanywe nyingi, na za vijana vyenu nao, juu ya nchi BWANA aliyowaapia baba zenu kuwa atawapa, kama zilivyo siku za mbingu juu ya nchi.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também