Pular para o conteúdo
Publicidade

Kumbukumbu la Torati 17:16

SRUV Swahili Revised Union Version

16 1 Fal 4:26;10:28;2 Nya 1:16;9:28;Zab 20:7;Isa 31:1;Kut 13:17;Hes 14:3,4;Hos 11:5Ila asifanye farasi wake kuwa wengi, wala asiwarudishe watu Misri, ili apate kufanya farasi kuwa wengi; kwa kuwa BWANA amewaambia, Tangu sasa msirudie tena njia ile.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    16 Hata hivyo, kamwe mfalme asijipatie hesabu kubwa ya farasi kwa ajili yake mwenyewe, au kuwafanya watu warudi Misri ili kupata farasi wengi, kwa maana Mwenyezi Mungu amekuambia, "Hamtairudia njia ile tena."

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    16 Hata hivyo, kamwe mfalme asijipatie hesabu kubwa ya farasi kwa ajili yake mwenyewe, au kuwafanya watu warudi Misri ili kupata farasi zaidi, kwa maana Bwana amekuambia, "Hamtairudia njia ile tena."

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.