Sheria nyinginezo
22 Kum 22:26;1 Sam 26:16;Mt 26:66;Mdo 23:29Ikiwa mtu ametenda dhambi ipasayo kufa, akauawa, nawe ukamtundika juu ya mti; 23 Gal 3:13;Yos 8:29;Yn 19:31;Law 18:25;Hes 35:34mzoga wake usikae usiku kucha juu ya mti; lazima utamzika siku iyo hiyo; kwani aliyetundikwa amelaaniwa na Mungu; usije ukatia unajisi katika nchi yako akupayo BWANA, Mungu wako, iwe urithi wako.