Pular para o conteúdo
Publicidade

Deuteronômio 26

12 Kum 14:28-29;Law 27:30;Hes 18:24Utakapokwisha kutoa zaka, katika zaka zote za mavuno yako mwaka wa tatu, ambao ndio mwaka wa kutolea zaka, umpe zile zaka Mlawi, na mgeni, na yatima, na mjane, wapate kula ndani ya malango yako na kushiba; 15 2 Nya 6:26,27;Zab 80:14;Isa 1:2;57:15;Zek 2:13;Mdo 7:49Uangalie kutoka makazi yako matakatifu mbinguni, uwabarikie watu wako Israeli, na nchi uliyotupa kama ulivyowaapia baba zetu, nchi imiminikayo maziwa na asali.

Veja também