Pular para o conteúdo
Publicidade

Kumbukumbu la Torati 31:7,8

SRUV Swahili Revised Union Version

7 Kum 1:38;3:28Musa akamwita Yoshua, akamwambia machoni pa Israeli wote, Uwe hodari na moyo wa ushujaa, maana utakwenda pamoja na watu hawa hata nchi BWANA aliyowaapia baba zao, ya kwamba atawapa; nawe utawarithisha. 8 Yos 1:5;Ebr 13:5;Kut 13:21;33:14;Zab 37:3;Rum 8:31;1 Nya 28:20Naye BWANA, yeye ndiye atakayekutangulia, atakuwa pamoja nawe, hatakupungukia wala kukuacha; usiogope wala usifadhaike.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    7 Kisha Musa akamwita Yoshua na akamwambia mbele ya Israeli wote, "Uwe imara na moyo wa ushujaa, kwa kuwa ni lazima uende na watu hawa katika nchi ile Mwenyezi Mungu aliyowaapia baba zao kuwapa, nawe ni lazima uwagawie kama urithi wao. 8 Mwenyezi Mungu mwenyewe atakutangulia naye atakuwa pamoja nawe; kamwe hatakuacha wala hatakutupa. Usiogope, wala usifadhaike."

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    7 Kisha Mose akamwita Yoshua na akamwambia mbele ya Israeli wote, "Uwe imara na moyo wa ushujaa, kwa kuwa ni lazima uende na watu hawa katika nchi ile Bwana aliyowaapia baba zao kuwapa, nawe ni lazima uwagawie kama urithi wao. 8 Bwana mwenyewe atakutangulia naye atakuwa pamoja nawe; kamwe hatakuacha wala hatakutupa. Usiogope, wala usifadhaike."

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.