Pular para o conteúdo
Publicidade

Kumbukumbu la Torati 32

16 Wakamtia wivu kwa miungu migeni,

Wakamkasirisha kwa machukizo.

17 1 Kor 10:20Walitoa sadaka kwa pepo, si Mungu,

Kwa miungu wasiyoijua,

Kwa miungu mipya iliyotokea siku zilizo karibu,

Ambayo baba zenu hawakuiogopa.

18 Humkumbuki Mwamba aliyekuzaa,

Mungu aliyekuzaa umemsahau.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também