16 Kum 27:16;Mt 15:4;19:19;Mk 7:10;10:19;Lk 18:20;Efe 6:2,3;Law 19:3;Kol 3:20;Kum 4:40Waheshimu baba yako na mama yako; kama BWANA, Mungu wako, alivyokuamuru, siku zako zipate kuzidi, nawe upate kufanikiwa katika nchi upewayo na BWANA, Mungu wako.
Publicidade