29 Kum 32:29;Zab 81:13;Isa 48:18;Yer 44:4;Mt 23:37;Lk 19:42;2 Kor 5:20;6:1;7:1;Ebr 12:25;Kum 11:1;Zab 119:1-5;Lk 11:28;Yn 15:14;Ufu 22:14Laiti wangekuwa na moyo kama huu ndani yao sikuzote, wa kunicha, na kushika amri zangu zote sikuzote, wapate kufanikiwa wao na watoto wao milele! 33 Kum 10:12;Zab 119:6;Mhu 8:12;Yer 7:23;Lk 1:6;1 Tim 4:8;Kum 4:40;12:25,28;22:7;Efe 6:3Endeni njia yote aliyowaagiza BWANA, Mungu wenu, mpate kuwa hai, na kufanikiwa, mkafanye siku zenu kuwa nyingi katika nchi mtakayoimiliki.
Publicidade
Kumbukumbu la Torati 5:29,33
SRUV Swahili Revised Union Version
Em outras traduções
- ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas
29 Laiti kama mioyo yao ingekuwa na mwelekeo wa kuniogopa na kuzishika amri zangu zote daima, ili wafanikiwe wao pamoja na watoto wao milele!
33 Fuateni yale yote ambayo Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, aliwaagiza, ili mpate kuishi, kustawi na kuziongeza siku zenu katika nchi mtakayoimiliki.
- ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli
29 Laiti kama mioyo yao ingekuwa na mwelekeo wa kuniogopa na kuzishika amri zangu zote daima, ili kwamba wafanikiwe wao pamoja na watoto wao milele!
33 Fuateni yale yote ambayo Bwana Mungu wenu aliwaagiza, ili mpate kuishi, kustawi na kuziongeza siku zenu katika nchi mtakayoimiliki.
Direitos das traduções citadas
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.