6 Kum 11:18-20;Isa 51:7Na maneno haya ninayokuamuru leo, yatakuwa katika moyo wako; 7 Efe 6:4nawe uwafundishe watoto wako kwa bidii, na kuyasema uishipo katika nyumba yako, na utembeapo njiani, na ulalapo, na uondokapo.
Publicidade