6 Kum 11:18-20;Isa 51:7Na maneno haya ninayokuamuru leo, yatakuwa katika moyo wako; 7 Efe 6:4nawe uwafundishe watoto wako kwa bidii, na kuyasema uishipo katika nyumba yako, na utembeapo njiani, na ulalapo, na uondokapo. 8 Mit 6:21;Kut 13:9;Mit 3:3;7:3Yafunge yawe dalili juu ya mkono wako, nayo yatakuwa kama utepe katikati ya macho yako.
Publicidade
Kumbukumbu la Torati 6
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.