Pular para o conteúdo
Publicidade

Waefeso 6

17 Isa 59:17;11:4;49:2;51:16;1 The 5:8;Hos 6:5Tena ipokeeni chapeo ya wokovu, na upanga wa Roho ambao ni neno la Mungu; 18 Mt 26:41;Kol 4:2,3kwa sala zote na maombi mkisali kila wakati katika Roho, mkikesha kwa jambo hilo na kudumu katika kuwaombea watakatifu wote;

Veja também