Waisraeli wateswa
8 Mdo 7:18Basi akatokea mfalme mpya kutawala Misri, asiyemjua Yusufu. 11 Mwa 15:1;Kut 2:11;3:7;5:4;Mit 27:3;Zab 81:6;Mwa 47:11Basi wakaweka wasimamizi juu yao wawatese kwa mizigo yao. Nao wakamjengea Farao miji ya kuwekea akiba, Pithomu na Ramesesi.