Pular para o conteúdo
Publicidade

Êxodo 14

13 2 Nya 20:15,17;Isa 41:10-14Musa akawaambia watu, Msiogope, simameni tu, mkauone wokovu wa BWANA atakaowafanyia leo; kwa maana hao Wamisri mliowaona leo hamtawaona tena milele. 14 Kum 20:4;Yos 10:14;23:3;2 Nya 20:29;Neh 4:20;Isa 30:15;31:4BWANA atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya.

Veja também