Pular para o conteúdo
Publicidade

Kutoka 14

21 Yos 3:16;4:23;Neh 9:11;Zab 74:13;106:9Musa; akanyosha mkono wake juu ya bahari; BWANA akaifanya bahari irudi nyuma kwa upepo wa nguvu utokao mashariki, usiku kucha, akaifanya bahari kuwa nchi kavu, maji yakagawanyika. 22 1 Kor 10:1-2;Ebr 11:29;Kut 15:19;Hes 33:8;Zab 66:6;78:13Wana wa Israeli wakaenda ndani wakipita kwenye nchi kavu ndani ya bahari; huku maji yakiwa ukuta kwao mkono wa kulia na mkono wa kushoto.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também