11 2 Sam 7:22;1 Fal 8:23;Zab 86:8;Yer 49:19Ee BWANA, katika miungu ni nani aliye kama wewe?
Ni nani aliye kama wewe, mtukufu katika utakatifu,
Mwenye kuogopwa katika sifa zako, mfanya maajabu?