8 Kut 24:3,7;Kum 26:17Watu wote wakaitika pamoja wakisema, Hayo yote aliyoyasema BWANA tutayatenda. Naye Musa akamwambia BWANA maneno ya hao watu.
Publicidade
Kutoka 19:8
SRUV Swahili Revised Union Version
Em outras traduções
- ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas
8 Watu wote wakajibu kwa pamoja, "Tutafanya kila kitu Mwenyezi Mungu alichokisema." Naye Musa akarudisha majibu yao kwa Mwenyezi Mungu.
- ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli
8 Watu wote wakajibu kwa pamoja, "Tutafanya kila kitu Bwana alichokisema." Naye Mose akarudisha majibu yao kwa Bwana.
Direitos das traduções citadas
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.