Pular para o conteúdo
Publicidade

Kutoka 2

5 Mdo 7:21Basi binti Farao akashuka, aoge mtoni, na vijakazi wake wakatembea kando ya mto; naye akakiona kile kikapu katika nyasi, akamtuma kijakazi wake kwenda kukileta. 10 Mdo 7:21Mtoto akakua, naye akamleta kwa binti Farao, akawa mwanawe. Akamwita jina lake Musa.2:10 Jina hili Musa katika Kiebrania ni ‘Mosheh’. Linatokana na neno ‘mashah’ kwa maana ya ‘kutoa’. Katika lugha ya Kimisri neno Musa ni ‘kupata mtoto’, akasema, Kwa sababu nilimtoa majini.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também