8 Kut 16:23-30;31:12-14;Kum 5:12Ikumbuke siku ya Sabato uitakase. 9 Kut 23:12;31:15;34:21;35:2;Law 23:3;Lk 13:14Siku sita fanya kazi, utende mambo yako yote; 10 Mwa 2:2;Neh 13:16lakini siku ya saba ni Sabato ya BWANA, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yoyote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya malango yako.