22 Isa 1:17;Eze 22:7;Kum 10:18Usimtese mjane yeyote aliyefiwa na mumewe, wala mtoto yatima. 23 Kum 15:9;Ayu 35:9;34:28;Yak 5:4Ukiwatesa watu hao katika neno lolote, nao wakanililia mimi, hakika yangu nitasikia kilio chao, 24 Ayu 31:23;Zab 109:9na hasira yangu itawaka moto, nami nitawaua ninyi kwa upanga; na wake wenu watakuwa wajane, na watoto wenu mayatima.
Publicidade