Pular para o conteúdo
Publicidade

Kutoka 32

11 Hes 14:13-19;Kum 9:18,26-29;Zab 74:1;106:23Musa akamsihi sana BWANA, Mungu wake, na kusema, BWANA, kwa nini hasira zako kuwaka juu ya watu wako uliowaleta kutoka nchi ya Misri kwa uweza mkuu, na kwa mkono wenye nguvu? 12 Kwa nini Wamisri waseme, kuwa "Amewatoa ili awatende mabaya, apate kuwaua milimani na kuwaangamiza watoke juu ya uso wa nchi?" Geuza katika hasira yako kali, ughairi uovu huu ulio nao juu ya watu wako. 13 Mwa 22:16-17;12:7;13:15;35:12;17:8;Ebr 6:13Mkumbuke Abrahamu, na Isaka, na Israeli, watumishi wako, ambao uliwaapia kwa nafsi yako, na kuwaambia, Nitazidisha kizazi chenu mfano wa nyota za mbinguni; tena nchi hii yote niliyoinena nitakipa kizazi chenu nao watairithi milele. 14 Hes 23:19;Kum 32:36;2 Sam 24:16;1 Nya 21:15;Yer 18:8;Hos 11:8;Yoe 2:13;Yn 3:10Na BWANA akaughairi ule uovu aliosema ya kwamba atawatenda watu wake.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também