Hema lasimikwa na vifaa vyake kuwekwa wakfu
1 BWANA akanena na Musa, na kumwambia, 2 Kut 12:2;13:4;25:9;26:1,30;Hes 7:1;Mdo 7:44,45;Ebr 8:2-5;9:2,11;Ufu 21:3Siku ya kwanza ya mwezi wa kwanza utaisimamisha hiyo maskani ya hema ya kukutania. 3 Hes 4:5Nawe utatia ndani yake sanduku la ushuhuda, nawe utalisitiri hilo sanduku kwa pazia.