11 Mwa 41:8;Dan 2:2;2 Tim 3:8;Kut 7:22;8:7,18;2 Kor 11:13;2 The 2:9,11;2 Tim 3:13;2 Pet 2:13;Ufu 12:9;13:14Ndipo Farao naye akawaita wajuzi na wachawi; na hao waganga wa Misri wakafanya vivyo hivyo kwa uganga wao. 12 Wakabwaga chini kila mtu fimbo yake, nazo zikawa nyoka; lakini fimbo ya Haruni ikazimeza fimbo zao.
Publicidade