5 Kut 8:22;14:4,18;Zab 9:16;59:13;Kut 3:20Na Wamisri watajua ya kuwa mimi ndimi BWANA, hapo nitakapounyosha mkono wangu juu ya Misri na kuwatoa wana wa Israeli watoke kati yao.
17 Ufu 16:4,6;Zab 9:16;Eze 20:48;25:17;Yoe 3:17;Kut 4:9BWANA asema, Katika jambo hili utanijua ya kuwa mimi ndimi BWANA; tazama, nitayapiga haya maji yaliyo mtoni kwa fimbo hii niliyo nayo mkononi mwangu, nayo yatageuzwa kuwa damu.