Pular para o conteúdo
Publicidade

Kutoka 8:15,32

SRUV Swahili Revised Union Version

15 Mhu 8:11;Mit 21:29Lakini Farao alipoona ya kuwa pana nafuu, akaufanya moyo wake kuwa mzito, asiwasikize; kama BWANA alivyonena.

Baa la tatu: Chawa

32 Kut 4:21;Mit 28:14;Rum 9:17-23;Yak 1:13-17Farao akaufanya moyo wake kuwa mzito mara hiyo nayo, wala hakuwapa ruhusa hao watu waende zao.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    15 Lakini Farao alipoona pametokea nafuu, akaushupaza moyo wake na hakuwasikiliza Musa na Haruni, kama vile Mwenyezi Mungu alivyokuwa amesema.

    32 Lakini wakati huu pia Farao akaufanya moyo wake kuwa mgumu, wala hakuwaruhusu Waisraeli waondoke.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    15 Lakini Farao alipoona pametokea nafuu, akaushupaza moyo wake na hakuwasikiliza Mose na Aroni, kama vile Bwana alivyokuwa amesema.

    32 Lakini wakati huu pia Farao akaushupaza moyo wake, wala hakuwaruhusu Waisraeli waondoke.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.