14 Kum 3:24;33:26;2 Sam 7:22;1 Nya 17:20;Zab 71:19;86:8;Isa 45:5-25;Yer 10:6,7Kwani wakati huu nitaleta mapigo yangu yote juu ya moyo wako, na juu ya watumishi wako, na juu ya watu wako; ili upate kujua ya kuwa hapana mmoja mfano wa mimi ulimwenguni kote. 16 Rum 9:17;Mit 16:4;1 Pet 2:9lakini, nilikusimamisha wewe kwa sababu ii hii, ili nikuoneshe uweza wangu, tena kwamba jina langu litangazwe katika dunia yote.
29 1 Fal 8:22,38;Zab 143:6;Isa 1:15;Zab 24:1;1 Kor 10:26Musa akamwambia, Mara nitakapotoka mjini nitamwinulia BWANA mikono yangu; na hizo ngurumo zitakoma, wala haitanyesha mvua ya mawe tena; ili upate kujua ya kuwa dunia hii ni ya BWANA.