27 Isa 54:1Kwa maana imeandikwa,
Furahi, wewe uliye tasa, usiyezaa;
Paza sauti, ulie, wewe usiye na uchungu;
Maana watoto wake aliyeachwa pekee ni wengi
Kuliko wa huyo aliye na mume.
28 Basi, ndugu zangu, kama Isaka sisi tu watoto wa ahadi. 29 Mwa 21:9Lakini kama vile siku zile yule aliyezaliwa kwa mwili alivyomwudhi yule aliyezaliwa kwa Roho, ndivyo ilivyo na sasa.