5 Rum 4:17wala jina lako hutaitwa tena Abramu, lakini jina lako litakuwa Abrahamu,17:5 Abrahamu: Abrahamu kwa maana ya ‘baba wa wengi’. kwani nimekuweka uwe baba wa mataifa mengi.
10 Mdo 7:8;Rum 4:11Hili ndilo agano langu utakalolishika, kati yangu nawe, na uzao wako, Kila mwanamume wa kwenu atatahiriwa.
16 Mwa 18:10;21:1Nami nitambariki, na tena nitakupa mwana kwake, naam, nitambariki, naye atakuwa mama wa mataifa, na wafalme wa makabila ya watu watatoka kwake. 17 Mwa 18:12;21:6,7Ndipo Abrahamu akaanguka kifudifudi akacheka, akasema moyoni, Je! Mtu wa umri wa miaka mia moja, kwake atazaliwa mtoto? Naye Sara mwenye umri wa miaka tisini atazaa? 19 Mwa 18:10;21:2;Gal 4:28-31Mungu akasema, Sivyo, lakini Sara mkeo atakuzalia mwana wa kiume, nawe utamwita jina lake Isaka. Nami nitafanya agano langu imara kwake kuwa agano la milele kwa ajili ya uzao wake baada yake.
23 Mwa 17:9Abrahamu akamtwaa Ishmaeli mwanawe, na wote waliozaliwa nyumbani mwake, na wote walionunuliwa kwa fedha yake, wanaume wote wa watu wa nyumba ya Abrahamu, akawatahiri nyama ya magovi yao siku ile ile, kama Mungu alivyomwambia.