Pular para o conteúdo
Publicidade

Waraka kwa Waebrania 3:7,8,12,13,15

SRUV Swahili Revised Union Version

Onyo juu ya kutoamini

7 Zab 95:7-11Kwa hiyo, kama anenavyo Roho Mtakatifu,

Leo, kama mkisikia sauti yake,

8 Kut 17:7;Hes 20:2-5Msifanye mioyo yenu kuwa migumu,

Kama wakati wa kuasi,

Siku ya kujaribiwa katika jangwa,

12 Hadharini, ndugu zangu, usiwepo katika mmoja wenu moyo mbovu wa kutoamini, ujitengao na Mungu aliye hai. 13 1 The 5:11Lakini mwonyane kila siku, maadamu inaitwa leo; ili mmoja wenu asifanywe mgumu kwa udanganyifu wa dhambi. 15 Zab 95:7-8kama inenwavyo,

Leo, kama mkisikia sauti yake,

Msifanye mioyo yenu kuwa migumu,

Kama wakati wa kuasi.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    7 Kwa hiyo, kama Roho wa Mungu asemavyo:

    "Leo, mkiisikia sauti yake,

    8 msiifanye mioyo yenu migumu,

    kama mlivyofanya katika uasi,

    wakati ule wa kujaribiwa jangwani,

    12 Ndugu zangu, chungeni asiwepo miongoni mwenu mtu mwenye moyo mwovu usioamini, unaojitenga na Mungu aliye hai. 13 Lakini mtiane moyo mtu na mwenzake kila siku, maadamu inaitwa "Leo", ili asiwepo hata mmoja wenu mwenye kufanywa mgumu kwa udanganyifu wa dhambi. 15 Kama ilivyonenwa:

    "Leo, mkiisikia sauti yake,

    msiifanye mioyo yenu migumu

    kama mlivyofanya wakati wa kuasi."

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    7 Kwa hiyo, kama Roho Mtakatifu asemavyo:

    "Leo, kama mkiisikia sauti yake,

    8 msiifanye mioyo yenu migumu,

    kama mlivyofanya katika uasi,

    wakati ule wa kujaribiwa jangwani,

    12 Ndugu zangu, angalieni, asiwepo miongoni mwenu mtu mwenye moyo mwovu usioamini, unaojitenga na Mungu aliye hai. 13 Lakini mtiane moyo mtu na mwenzake kila siku, maadamu iitwapo Leo, ili asiwepo hata mmoja wenu mwenye kufanywa mgumu kwa udanganyifu wa dhambi. 15 Kama ilivyonenwa:

    "Leo, kama mkiisikia sauti yake,

    msiifanye mioyo yenu migumu

    kama mlivyofanya wakati wa kuasi."

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.