Pular para o conteúdo
Publicidade

Hebreus 4

9 Basi, limesalia pumziko la sabato kwa watu wa Mungu. 10 Mwa 2:2;Ufu 14:13Kwa maana yeye aliyeingia katika pumziko lake amepumzika mwenyewe katika kazi yake, kama vile Mungu alivyopumzika katika kazi zake. 11 Basi, na tufanye bidii kuingia katika pumziko lile, ili kwamba mtu yeyote asije akaanguka kwa mfano uo huo wa kuasi.

Veja também