Pular para o conteúdo
Publicidade

Waraka kwa Waebrania 6

4 Ebr 10:26,27;Mt 12:31;1 Yoh 5:16Kwa maana hao waliokwisha kupewa nuru, na kukionja kipawa cha mbinguni, na kufanywa washirika wa Roho Mtakatifu, 5 1 Pet 2:3na kulionja neno zuri la Mungu, na nguvu za wakati ujao, 6 wakaanguka baada ya hayo, haiwezekani kuwafanya upya tena hata wakatubu; kwa kuwa wamsulubisha Mwana wa Mungu mara ya pili kwa nafsi zao, na kumtweza hadharani kwa dhahiri.

Veja também