9 Yn 6:37,44Mimi nawaombea hao; siuombei ulimwengu; bali hao ulionipa, kwa kuwa hao ni wako;
11 Yn 10:30;Mt 6:13Wala mimi simo tena ulimwenguni, lakini hawa wamo ulimwenguni, nami naja kwako. Baba mtakatifu, kwa jina lako ulilonipa uwalinde hawa, ili wawe na umoja kama sisi tulivyo. 15 2 The 3:3;1 Yoh 5:18;Mt 6:13;Lk 22:32Mimi siombi kwamba uwatoe katika ulimwengu; bali uwalinde na yule mwovu.
20 Yn 17:9Wala si hao tu ninaowaombea; lakini na wale watakaoniamini kwa sababu ya neno lao.