Pular para o conteúdo
Publicidade

Yohana 17:9,11,15,20

ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

9 Ninawaombea wao. Siuombei ulimwengu, bali nawaombea wale ulionipa kwa sababu wao ni wako. 11 Mimi sasa simo tena ulimwenguni, lakini wao bado wamo ulimwenguni, nami naja kwako. Baba Mtakatifu, uwalinde kwa uweza wa jina lako ulilonipa, ili wawe na umoja kama sisi tulivyo wamoja.

15 Siombi kwamba uwaondoe ulimwenguni, bali uwalinde dhidi ya yule mwovu.

Isa awaombea wote watakaomwamini

20 "Siwaombei hawa peke yao, bali nawaombea na wale wote watakaoniamini kupitia neno lao,

Em outras traduções

  1. SRUV Swahili Revised Union Version

    9 Yn 6:37,44Mimi nawaombea hao; siuombei ulimwengu; bali hao ulionipa, kwa kuwa hao ni wako;

    11 Yn 10:30;Mt 6:13Wala mimi simo tena ulimwenguni, lakini hawa wamo ulimwenguni, nami naja kwako. Baba mtakatifu, kwa jina lako ulilonipa uwalinde hawa, ili wawe na umoja kama sisi tulivyo. 15 2 The 3:3;1 Yoh 5:18;Mt 6:13;Lk 22:32Mimi siombi kwamba uwatoe katika ulimwengu; bali uwalinde na yule mwovu.

    20 Yn 17:9Wala si hao tu ninaowaombea; lakini na wale watakaoniamini kwa sababu ya neno lao.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    9 Ninawaombea wao. Mimi siuombei ulimwengu, bali nawaombea wale ulionipa kwa sababu wao ni wako. 11 Mimi sasa simo tena ulimwenguni, lakini wao bado wamo ulimwenguni, nami naja kwako. Baba Mtakatifu, uwalinde kwa uweza wa jina lako ulilonipa, ili wawe na umoja kama sisi tulivyo wamoja.

    15 Siombi kwamba uwaondoe ulimwenguni, bali uwalinde dhidi ya yule mwovu.

    20 "Siwaombei hawa peke yao, bali nawaombea na wale wote watakaoniamini kupitia neno lao

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.