Publicidade

Jeremias 17

7 Zab 2:12;Mit 16:20Amebarikiwa mtu yule anayemtegemea BWANA,

Ambaye BWANA ni tumaini lake.

8 Zab 1:3Maana atakuwa kama mti uliopandwa kando ya maji,

Uenezao mizizi yake karibu na mto;

Hautaona hofu wakati wa joto ujapo,

Bali jani lake litakuwa bichi;

Wala hautahangaika mwaka wa uchache wa mvua,

Wala hautaacha kuzaa matunda.

Veja também

Bíblia Online Bíblia Online

Bíblia Online • Versão: 2026-07-05_19-25-13-