Publicidade

Jeremias 29

11 Maana nayajua mawazo ninayowawazia ninyi, asema BWANA, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za baadaye. 12 Dan 9:3Nanyi mtaniita, mtakwenda na kuniomba, nami nitawasikiliza. 13 Law 26:39,40;Zab 32:6;Mt 7:7;Yer 24:7;Kum 4:29Nanyi mtanitafuta na kuniona, mtakaponitafuta kwa moyo wenu wote.

Veja também

Bíblia Online Bíblia Online

Bíblia Online • Versão: 2026-07-05_19-25-13-