9 Zab 126:5;Yer 50:14;Isa 49:10;63:16;Kut 4:22;Kum 32:6;1 Nya 29:10;Yer 3:4,19Watakuja kwa kulia, na kwa maombi nitawaongoza; nitawapitisha kwenye mito ya maji, katika njia iliyonyoka; katika njia hiyo hawatajikwaa; maana mimi ni baba wa Israeli, na Efraimu ni mzaliwa wa kwanza wangu.
Publicidade