Pular para o conteúdo
Publicidade

Yeremia 9

23 Zab 33:16;Mhu 9:11;Isa 5:21;Rum 1:22BWANA asema hivi, Mwenye hekima asijisifu kwa sababu ya hekima yake, wala mwenye nguvu asijisifu kwa sababu ya nguvu zake, wala tajiri asijisifu kwa sababu ya utajiri wake; 24 Zab 20:7;Mik 6:8;1 Kor 1:31;2 Kor 10:17bali ajisifuye na ajisifu kwa sababu hii, ya kwamba ananifahamu mimi, na kunijua, ya kuwa mimi ni BWANA, nitendaye wema, na hukumu, na haki, katika nchi; maana mimi napendezwa na mambo hayo, asema BWANA,

Veja também