20 Hes 14:9,42,43;Yos 7:12;1 Sam 16:14;18:12;28:15,16;2 Nya 15:2;Zab 33:16;Mit 22:14;Yer 9:23,24;Hos 9:12Kisha akasema, Samsoni, Wafilisti wanakujia. Akaamka katika usingizi wake, akasema, Nitakwenda nje kama siku nyingine, na kujinyosha. Lakini hakujua ya kuwa BWANA amemwacha. 22 Lakini zile nywele za kichwa chake zikaanza kukua tena baada ya kunyolewa kwake.
28 Yer 15:15Samsoni akamwita BWANA, akasema, Ee Bwana MUNGU, nikumbuke nakuomba, ukanitie nguvu, nakuomba, mara hii tu, Ee Mungu, ili nipate kujilipiza kisasi juu ya Wafilisti kwa ajili ya macho yangu mawili.