Pular para o conteúdo
Publicidade

Lucas 17

Kuja kwa ufalme

20 Yn 18:36;3:3Na alipoulizwa na Mafarisayo, Ufalme wa Mungu utakuja lini? Aliwajibu akawaambia, ufalme wa Mungu hauji kwa kuuchunguza; 21 Mt 24:23;Yn 1:26;12:35wala hawatasema, Tazama, upo huku, au, kule, kwa maana, tazama, ufalme wa Mungu umo ndani yenu.

Veja também