Yesu awahudumia makundi ya watu
23 Mt 9:35;Mk 1:39;Lk 4:15,44;Mdo 10:38Naye alikuwa akizunguka katika Galilaya yote, akifundisha katika masinagogi yao, na kuihubiri Habari Njema ya ufalme, na kuponya kila ugonjwa na maradhi ya kila namna waliyokuwa nayo watu.