Pular para o conteúdo
Publicidade

Hesabu 12:6-8

SRUV Swahili Revised Union Version

6 Mwa 46:2;Ayu 33:15;Lk 1:11,22;Mt 1:20Kisha akawaambia,

Sikilizeni basi maneno yangu;

Akiwapo nabii kati yenu,

Mimi, BWANA, nitajifunua kwake katika maono,

Nitasema naye katika ndoto.

7 Ebr 3:2,5;Zab 105:26Sivyo ilivyo kwa mtumishi wangu, Musa;

Yeye ni mwaminifu katika nyumba yangu yote;

8 Kut 33:11;Kum 34:10;1 Kor 13:12;Kut 33:19;2 Pet 2:10Kwake nitanena mdomo kwa mdomo,

Maana, waziwazi wala si kwa mafumbo;

Na umbo la BWANA yeye ataliona.

Mbona basi ninyi hamkuogopa

Kumteta mtumishi wangu, huyo Musa?

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    6 Mwenyezi Mungu akawaambia, "Sikilizeni maneno yangu:

    "Akiwepo nabii wa Mwenyezi Mungu miongoni mwenu,

    nitajifunua kwake kwa maono,

    nitanena naye katika ndoto.

    7 Lakini sivyo kwa mtumishi wangu Musa;

    yeye ni mwaminifu katika nyumba yangu yote.

    8 Kwake nitanena naye uso kwa uso,

    waziwazi wala si kwa mafumbo;

    yeye ataona umbo la Mwenyezi Mungu.

    Kwa nini basi ninyi hamkuogopa

    kuzungumza kinyume cha mtumishi wangu Musa?"

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    6 Bwana akasema, "Sikilizeni maneno yangu:

    "Akiwapo nabii wa Bwana miongoni mwenu,

    nitajifunua kwake kwa maono,

    nitanena naye katika ndoto.

    7 Lakini sivyo kwa mtumishi wangu Mose;

    yeye ni mwaminifu katika nyumba yangu yote.

    8 Kwake nitanena naye uso kwa uso,

    waziwazi wala si kwa mafumbo;

    yeye ataona umbo la Bwana.

    Kwa nini basi ninyi hamkuogopa

    kuzungumza kinyume cha mtumishi wangu Mose?"

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.