33 Mwa 4:9-12;Law 18:25;Kum 21:23;Zab 106:38;Isa 26:21;Hos 4:2,3;Mik 4:11;Mwa 9:6Hivi hamtaitia unajisi nchi ambayo mwakaa; kwa kuwa damu huitia nchi unajisi; wala hapana sadaka itoshayo kwa ajili ya nchi, kwa ajili ya damu iliyomwagwa ndani yake, isipokuwa ni damu ya huyo aliyeimwaga.