5 Kut 26:31;36:35;Law 16:2;2 Nya 3:14;Mt 27:51;Ebr 9:3;Kut 25:10,16hapo watakapoanza safari, Haruni ataingia ndani, na wanawe, nao watalishusha pazia la sitara, na kulifunika sanduku la ushahidi4:5 Kut 25:16: Kisha tia ndani ya sanduku huo ushuhuda nitakaokupa. kwa hilo pazia; 6 Kut 25:13kisha ataweka juu yake ngozi laini ya mnyama4:6 Katika Kiebrania mnyama atajwaye si yakini. za kulifunikia, na kutandika juu yake nguo ya rangi ya samawati tupu, kisha watatia hiyo miti yake. 15 Hes 7:9;10:21;Kum 31:9;2 Sam 6:13;1 Nya 15:2,15;2 Sam 6:6,7;1 Nya 13:9,10;Hes 3:31Na Haruni na wanawe watakapokwisha kupafunika mahali patakatifu, na vyombo vyote vya mahali patakatifu, hapo watakapong’oa kambi; baadaye, wana wa Kohathi watakuja kuvichukua; lakini wasiviguse vile vitu vitakatifu, wasife. Vyombo vile ni mzigo wa wana wa Kohathi katika hema ya kukutania.
20 Kut 19:21;1 Sam 6:19lakini wasiingie wao kupaona mahali pale patakatifu, hata kwa dakika moja, ili wasife.