5 Zek 1:12;2 Fal 25:25;Isa 58:4;Mt 6:16;Rum 14:6Waambie watu wote wa nchi, na hao makuhani, ukisema, Hapo mlipofunga na kuomboleza katika mwezi wa tano7:5 mfungo wa mwezi wa tano ulikuwa wa kukumbuka kushindwa kwa Yerusalemu katika mwaka wa 487 K.K. na mwezi wa saba,7:5 mfungo wa mwezi wa saba ulikuwa wa kukumbuka kuuawa kwa Jedalia, mtawala. katika miaka hiyo sabini, je, Mlifunga kwa ajili yangu? 6 Na wakati mnapokula chakula na kunywa, je, Hamli kwa ajili ya nafsi zenu, na kunywa kwa ajili ya nafsi zenu?
Publicidade
Zekaria 7:5,6
SRUV Swahili Revised Union Version
Em outras traduções
- ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas
5 "Waulize watu wote wa nchi na makuhani, ‘Je, mlipofunga na kuomboleza katika mwezi wa tano na wa saba kwa miaka sabini iliyopita, mlifunga kweli kwa ajili yangu? 6 Na mlipokuwa mkila na kunywa, je, hamkuwa mnasherehekea kwa ajili ya nafsi zenu?
- ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli
5 "Waulize watu wote wa nchi na makuhani, ‘Je, mlipofunga na kuomboleza katika mwezi wa tano na wa saba kwa miaka sabini iliyopita, mlifunga kweli kwa ajili yangu? 6 Na mlipokuwa mkila na kunywa, je, hamkuwa mnasherehekea kwa ajili ya nafsi zenu?
Direitos das traduções citadas
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.